Goddestination

Al-Maa'un

Al-Ma'un

Vyamana

7 ayaMakkaKiswahili

Inacheza sasa Tazama kwenye YouTube

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِ

Bismi Allah Ar-Rahman Ar-Rahim

  1. 1 أَرَءَیۡتَ ٱلَّذِی یُكَذِّبُ بِٱلدِّینِ

    Araita allazhi yukazzibu Beldini

    Je! Umemwona anayeikanusha Siku ya Malipo?

  2. 2 فَذَ ٰ⁠لِكَ ٱلَّذِی یَدُعُّ ٱلۡیَتِیمَ

    fadha imani leka allazhi yadu al-yatima

    Basi huyo ndiye aliye mkandamiza yatima.

  3. 3 وَلَا یَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلۡمِسۡكِینِ

    yahuththu Ala taami Al-Miskini

    Wala wala kuhimiza kulisha masikini.

  4. 4 فَوَیۡلࣱ لِّلۡمُصَلِّینَ

    fawail Lil-musallina

    Basi ole wao wanao sala

  5. 5 ٱلَّذِینَ هُمۡ عَن صَلَاتِهِمۡ سَاهُونَ

    Al-ladhina hum an swalaatihim sahuni

    Wale ambao kwa sala zao wanakuwa wameghafilika.

  6. 6 ٱلَّذِینَ هُمۡ یُرَاۤءُونَ

    Al-ladhina hum yurauna

    Wale ambao wanataka kuonekana na watu.

  7. 7 وَیَمۡنَعُونَ ٱلۡمَاعُونَ

    wayamnaunu Al-Mauni

    Na wanakataa hata msaada wa jirani.

Sura hii katika lugha nyingine